New Video: Barnaba – Tunafanana

Muimbaji Barnaba Classic baada ya kufanya vizuri na wimbo wake ‘Lover Boy’, Jumatano hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Tunafanana’. Wimbo huo umedikauliwa chini ya studio yake ya High Table Sound.


Sumber https://www.sanjaboy.com/

Iklan Atas Artikel

Iklan Tengah Artikel 1

Iklan Tengah Artikel 2

Iklan Bawah Artikel